Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli watoto wa mama mmoja. Shakula sana mboga na kulala. Kama ni nyama ndio kabisaaa napiga supu huku najiambia "taabu yote ya nini nipike vitu vingi wakati nakula mwenyewe"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana tumefanana vitu vingi sana.
Sasa mtu upo mwenyewe cha kujitesa ni nini.
Hapo umerudi umechoka hatari..
 
Sasa kwanini humuonei huruma mwenzio?
Lawama zote unanitupia mimi jamani.
Sasa sio mchuzi tuu hadi huo wali unaingia kwenye "friza" unagandishwa hadi ijumaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahio nikioa kama wewe nikirudi inabidi nimelizie mboga iliobaki! Eti cute b ?
Hapana tukiwa wenyewe ndio tunakula mboga tunalala.
Ila kama tumeolewa lazima tupike chakula kamili.
Si unajua chakula pia ni limbwata eeh. [emoji6][emoji6]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana tumefanana vitu vingi sana.
Sasa mtu upo mwenyewe cha kujitesa ni nini.
Hapo umerudi umechoka hatari..
Si ndio hapo sasa!! Tumefanana na kileeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom