Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Mkuu umeniacha round about Ubungo
Nyuzi zako kadhaa humu zaonyesha wewe ni bachela. Sidhani kama una mpenzi kwa sasa. Nahisi hauna. Kwa nyuzi na comment zako waonekana ni kijana fulani mtanashati unajielewa, uko up to date na mambo mengi.
Suala la research/ vetting nimeweka "kiutani" tu hapa nikimaanisha "unatafuta" mpenzi labda baadae mke kwa njia ya kijanja/ kamchujo kujua wenye ujuzi wa husehold. Unaitumia pia jf kama maeneo mengine kama sehemu ya kutafuta mwenza. Wale wanawake smart na wana uhitaji wa mwenza wanaweza wakawa nao wanakusoma.

ILA NI MTAZMO WANGU TU HUU.
 
Jinga kweli.
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa mimi huwa narudi nimechoka napika mboga naidokoa hadi nakaribia kushiba naamua niile tuu yote nilale[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiio ndio...hata hyo hua inatokea sana,haswa nyama

Nikiwa naichemsha nyama nipike nayo mboga naigonga hvyo hvyo..mda mwingine natumbukizs huko viaz vitatu nakua nimemaliza mchezo
 
@cute b huyu wifi ni kichomi hatari. Utaumwa bure mdogo wangu.

Ngoja niongee vizuri na Mshana Jr
Haki unanivunja mbavu zangu kwa kicheko.
Mtu anaweza dhani nipo na mtu humu ndani kwa namna ninavyo pasuka kucheka.

Ndio maana nakupenda yaani. Unajua kunihangaikia na haunikatii tamaa.
 
Nyuzi zako kadhaa humu zaonyesha wewe ni bachela. Sidhani kama una mpenzi kwa sasa. Nahisi hauna. Kwa nyuzi na comment zako waonekana ni kijana fulani mtanashati unajielewa, uko up to date na mambo mengi.
Suala la research/ vetting nimeweka "kiutani" tu hapa nikimaanisha "unatafuta" mpenzi labda baadae mke kwa njia ya kijanja/ kamchujo kujua wenye ujuzi wa husehold. Unaitumia pia jf kama maeneo mengine kama sehemu ya kutafuta mwenza. Wale wanawake smart na wana uhitaji wa mwenza wanaweza wakawa nao wanakusoma.

ILA NI MTAZMO WANGU TU HUU.
Mkuu umenifurahisha sana.
 
Haki unanivunja mbavu zangu kwa kicheko.
Mtu anaweza dhani nipo na mtu humu ndani kwa namna ninavyo pasuka kucheka.

Ndio maana nakupenda yaani. Unajua kunihangaikia na haunikatii tamaa.
Sasa nikikukatia tamaa nani atakuhangaikia? Mama alinikabidhi hivyo ni jukumu langu.

Ila uache kuruka ruka sasa, unafanya hii kazi inakuwa ngumu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo unazingua, kukufundisha kote kule haujaweza[emoji134][emoji134][emoji134]
Vilikuwa vinaingia huku vinatokea huku kwa mwendo wa chopa[emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom