Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,792
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi ndio wa kuamua kuwa kikao kitakuwepo au laWe subiri utaitwa kwenye kikao.
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi ndio wa kuamua kuwa kikao kitakuwepo au laWe subiri utaitwa kwenye kikao.
Nakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?[emoji23][emoji23][emoji23] njoo nikufundishe huko usije kwenda kuniaibisha, jana ilikuwa bahati mbaya tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chupa na mfuniko.
Unamwaga unapika upya.Kumbe kama umetoka mbichi mimi nifanyeje jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhahahahhahahahhahaahhahahahahahahahaahahhahahahhahahahha.Sasa wewe unakwenda kama mshenga au[emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23] we njoo tu na mikono yako material utazikutaNakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?
Unifundishe kupika chapati za kusukuma maana si kwa "mabati" niliyopika leo. Chapati kama" mkate wa Yesu". [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Na mikate. Kwa usiku sio mbaya maana mchana unakula hotelini /mama ntilie.Huu wali utafika jumatatu...baada ya hapo chapati,maandazi na nk vitachangia hadi ifike weekend
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri waliokula CV yangu wanayo tangu nazaliwa kwa hiyo jambo dogo kama hilo haliwezi kuchafua kihivyoUnamwaga unapika upya.
Usikupali kuchafua CV
Nakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?
Unifundishe kupika chapati za kusukuma maana si kwa "mabati" niliyopika leo. Chapati kama" mkate wa Yesu". [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwani lini uliwahi kulazimishwa?Hahahahhahahahhahahahhahaahhahahahahahahahaahahhahahahhahahahha.
Ananilinda Nisianze kulazimishwa ku.....
Hahahahahhahahahahahhaah. Jamani tatizo wewe mkorofi ndio unahisi na mimi hivo hivo.Teh teh teh teeeeeh!
Mkali ili ukileta za kuleta anakunyoosha. Wewe bila sheria huendi.
Afadhali mnaambiana ukweli leo