Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Kuna jamaa alikuwa anapika ubwabwa mwingiii na mboga then anaweka kwa jokofu. Anatoa kidogo anapasha kwa microwave, mwendo ni huo hata wiki mbili.

Haki wanaume bachela wanakulaga kushiba.
Sasa unafikiri huo mchuzi wote nitamaliza leo? Hapo ukikaa sana jumatano! Ila nataka kujitahidi ufike angalau ijumaa!
 
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!

Karibuni tuleView attachment 1212957
Unanikumbusha enzi hizo naishi maeneo ya Ubungo, nilikuwa napitia dagaa mchele naingia napika ugali napiga msosi na jamaa gheto maisha yanaenda
 
Unanikumbusha enzi hizo naishi maeneo ya Ubungo, nilikuwa napitia dagaa mchele naingia napika ugali napiga msosi na jamaa gheto maisha yanaenda
Wale wauza samaki wanatusaidia sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom