Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Lawama zote unanitupia mimi jamani.
Sasa sio mchuzi tuu hadi huo wali unaingia kwenye "friza" unagandishwa hadi ijumaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu wali utafika jumatatu...baada ya hapo chapati,maandazi na nk vitachangia hadi ifike weekend
 
Mimi huwa napika maharage yangu ya kukaa wiki nzima, na alternate na dagaa au samaki au nyama ( mbuzi/ng'ombe/kuku/kitimoto) kuleta ladha.

Wali ni mwendo wa Rice cooker na siku moja moja nakiwasha na ugali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom