vibwengo katika sheria wakikutana bana ni mwendo wa kupotoshana na kujazana maujinga tuUnashtakiwa kwa kosa la kuiba ng'ombe mwishowe unafungwa kwa kosa la kuendesha gari ukiwa umelewa. Wakati huo Jaji yupo comfortable kukusomea kifungo.
Hii ni maajabu kweli kweli.

Sisi siyo hopeless tu, Ni MAITI zinazotembea.Mpaka hapo utawalaumu wakenya kwa kutuona wengi wetu ni hopeless?