Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Hivi kuna watu bado wanaamin kuwa.......Yupo?Pole yao acha waliojua mapema waendlee kuzkusanya
 
hawa watu wanawaaminisha watu watapata pesa kupitia miujiza wakat wao wenyew hela zao wanpata kwa kukusanya sadaka, watu cjui huwa hawafikirii loh!
 
Huku mitaan kila mtu anaanzsha huduma, startups kila kona nyumba za huduma ni nyng kuliko vituo vya kazi
 
Hata sms zile za matapeli hawezi kukurubuni na hela nyingi kiasi hiki
 
Mimi naongelea wanakondoo, kwani wewe unazungumzia nini mkuu?
Ndio maana nimezungumzia levels. Kwa beginners kama wewe, hapo upo sahihi kabisa, maana ni level za kufundishwa kwamba Tano kutoa Saba jibu lake ni haiwezekani
 
Mungu hubariki kazi za mikono yako. Mungu hukupa nguvu za kupata utajiri. Mungu ameagiza asiyefanya kazi na asile. Ni dhahiri basi kuwa Mungu hukupa BARAKA kupitia kazi ya mikono yako... Tena kazi halali.!! Usisugue magoti kusubiri pesa toka juu. Watu wafanye kazi... Kupitia kazi utabarikiwa !!!!
 
Hukuwa na haja ya kusema "Mungu akusamehe" kwa sababu huna kosa hapo. Huo ni utapeli kama utapeli mwingine. Hongera kwa kuutumia vizuri utashi uliopewa

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…