Huu mpira wa bongo bana

Huu mpira wa bongo bana

Acha uwongo; nenda kaugulie nyumbani kwako kimya kimya baada ya kichapo. Pacome alipokuwa offside hakugusa mpira huo, alikuja kuugasa baada ya kuwa ameshatoka kwenye nafasi ya ioffsie akisindikiza mpira wa ulipoigwa na Max
Yaani ukitoka kwenye offside position ukirudi unakuwa sio offside?At least wewe unakubali alikuwa offside. Wenzio wanakaza fuvu.Goli ni offside na kungekuwa na VAR lisingekuwa goli.
 
Ukitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye move ni offside. Hili goli ni offside kwa kanuni za offside. Sheria za offside zimebadilishwa unakuwa offside unapozidi mwili mzima.Pacome alikuwa offside akarudi na ku interfere kwenye move na kufunga.
Sheria hiyo ya kitaani kwenu? Offside inahukumiwa wakati unaoingilia mchezo upo katika eneo lipi. Pacome kaungilia mchezo baada ya mpira kupigwa na Max
 
Nawashauri wanaosema ilikuwa offside waache mara moja kuangalia mpira, maana hata sheria za mpira hawazijui, wapo tu kufoka vibandani...
Kama hajagusa mpira au kumzuia mpinzani kupata mpira sio offside
 
Acha uwongo; nenda kaugulie nyumbani kwako kimya kimya baada ya kichapo. Pacome alipokuwa offside hakugusa mpira huo, alikuja kuugasa baada ya kuwa ameshatoka kwenye nafasi ya ioffsie akisindikiza mpira wa ulipoigwa na Max
Kwa marefa trained na kama hauna VAR hakiikisha hii unanyoosha kibendera... usipofanya hivyo utafanya kosa kama la leo... hautaona pacime akiwa anarudi na movement atakazozifanya kabla ya mpira kumfikia tena.. kama hapa akiwa anatoka kwenye offside position alifanya obstruction kwa mchezaji alekuwa anam - mark max nadhani... sio u simba na uyanga... mazingira haya ni VAR pekee unaweza kuitegemea.. kama hauna VAR nyoosha kibendera - kusipokuwa na movement ya aliye offside utakuwa umekataa goli halali na hautalaumiwa sana luliko ukiruhusu mchezo uendelee halafu ikatokea kama ya leo.. itaonekana tu ulilipwa... it was a clear offside.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Yaani ukitoka kwenye offside position ukirudi unakuwa sio offside?At least wewe unakubali alikuwa offside. Wenzio wanakaza fuvu.Goli ni offside na kungekuwa na VAR lisingekuwa goli.

Kwa marefa trained na kama hauna VAR hakiikisha hii unanyoosha kibendera... usipofanya hivyo utafanya kosa kama la leo... hautaona pacime akiwa anarudi na movement atakazozifanya kabla ya mpira kumfikia tena.. kama hapa akiwa anatoka kwenye offside position alifanya obstruction kwa mchezaji alekuwa anam - mark max nadhani... sio u simba na uyanga... mazingira haya ni VAR pekee unaweza kuitegemea.. kama hauna VAR nyoosha kibendera - kusipokuwa na movement ya aliye offside utakuwa umekataa goli halali na hautalaumiwa sana luliko ukiruhusu mchezo uendelee halafu ikatokea kama ya leo.. itaonekana tu ulilipwa... it was a clear offside.

Offside maana yake ni kupokea mpira wakati huna mpinzani mbele yako ispokuwa golikipa. Ukiwa eneo hilo lakini ukawa hupokea mpira wowote, siyo offside.
 
Ukitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye mpira sio offside?
 
Saaizi saa tatu usiku goli limerudiwa apa Azam TV na uchambuzi umeonnyesha ni goli halali.

Mimi ninacho shangaa refa kupiga filimbi kumzuia Doumbia asifunge goli la pili wakati hakukua na tatizo lolote la kusimamisha mchezo na beki wa Simba tayari alikua amesha anguka.
 
acha kusikiliza uchambuzi wa wazee wa kwenye vibanda umiza!! Alafu kwani walivyofungwa walishikwa miguu na mikono ili wasirudishe goli?
Hujui mpira nenda kwenye thread za kula tunda kimasihara ndio zinakufaa tuachie mpira wetu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hujui mpira nenda kwenye thread za kula tunda kimasihara ndio zinakufaa tuachie mpira wetu
sasa unaona umenijibu upuuzi mtupu! Mimi mwanafunzi nawaza necta halafu nikasome thread za kimalaya kweli? Umenikosea sana.
 
Ukitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye mpira sio offside?
siyo offside tena. Offisde ni kupokea mpira waketi mbele yao hakuna mpinzani zaidi ya golikipa.

"a player is in an offside position if they are in the opponent's half and closer to the goal line than both the ball and the second-to-last opponent when the ball is played to them"
1758047915530.png
 
Weka sheria zote za offside. Hiyo ni general rule.
 
sasa unaona umenijibu upuuzi mtupu! Mimi mwanafunzi nawaza necta halafu nikasome thread za kimalaya kweli? Umenikosea sana.
Sasa mwanafunzi kwenye jukwaa la malegend hujui unachati na mkuu wako wa shule ?aya zima data usome
 
Back
Top Bottom