redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 6,454
- 14,177
Obstruction alifanya refa kumzuia Doumbia kufunga goli la pili akipuliza filimbi filimbi bila sababu yoyote ili Simba isiendelee kupokea kipigo kizito.Ukikubali kwamba aligusana na beki za Simba akiwa ametoka kwenye offside position na kufanya obstruction kwa Rushine ndio kuingilia mpira huko hivyo goli alilofunga sio halali.
Obstruction zingine zilifanyikaga kule Tanga katika fainali ya Ngao ya Jamii kwa refa kumruhusu Ally Salim kuwa Anatoka kwenye line na kudaka penalty za Yanga uku aki ibuka shujaa na tulipo hojii tukaambiwa malalamiko yetu tuyapeleke Tff.