Huu mpira wa bongo bana

Huu mpira wa bongo bana

Attachments

  • IMG_20250816_151251.jpg
    IMG_20250816_151251.jpg
    67.3 KB · Views: 13
Ukitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye move ni offside. Hili goli ni offside kwa kanuni za offside. Sheria za offside zimebadilishwa unakuwa offside unapozidi mwili mzima.Pacome alikuwa offside akarudi na ku interfere kwenye move na kufunga.
 
Unapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.

Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.
Alimfanyia obstruction de ruck..ilikiwa clear offside
 
Ukitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye move ni offside. Hili goli ni offside kwa kanuni za offside. Sheria za offside zimebadilishwa unakuwa offside unapozidi mwili mzima.Pacome alikuwa offside akarudi na ku interfere kwenye move na kufunga.
Ni maelekezo watu washatia kibunda chao mfukoni
 
Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm
View attachment 3473514
Hii ni clear offside kabisa
Acha uwongo; nenda kaugulie nyumbani kwako kimya kimya baada ya kichapo. Pacome alipokuwa offside hakugusa mpira huo, alikuja kuugasa baada ya kuwa ameshatoka kwenye nafasi ya ioffsie akisindikiza mpira wa ulipoigwa na Max
 
Unapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.

Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.
hukuona pacome aliingilia mchezo akiwa offside na kumblock beki wa simba kufanya tackling kwa max?
 
Back
Top Bottom