Huu mpira wa bongo bana

Huu mpira wa bongo bana

First touch ya Maxi inaua nafasi ya awali aliyopo Pacome. Mbona mnakuwa wagumu kuelewa mambo mepesi hivyo? Angalia hili goli la Messi utaelewa.
Unajua alimfanyia nini de reuck pale ilitakiwa kuwa obstruction au faulo
 
Offside na obstruction lkn jua kuwa pecome aliingilia mchezo kwa kufanya movement
Movement yake ilikuwa ni kuukwepa mpira au kufuata mpira? Yaani unaonekana mpira na sheria zake zimekupiga chenga ama pengine unaongea tu ili kubishana. Hauna hoja inayoeleweka na umepewa na mifano kabisa
 
Unapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.

Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.
Pacome hakumzuia yule beki wa Simba?

Kama alimzuia basi aliingilia mchezo ni Offside, kama hakumzuia ni clear goal.

Swali kwako, alimzuia au hakumzuia!?
 
pacome amemblock de rouk kwenye njia ambapo alikuwa anaenda kumkaba max so apo inatafsiliwa pacome amenufaika na ile offside aliokuwepo
Nieomeona clip jana ya Lionel Mess jana ikitembea akiwa Barcelona alipigiwa mpira akiwa katika offside position lakini aliupisha
Pacome hakumzuia yule beki wa Simba?

Kama alimzuia basi aliingilia mchezo ni Offside, kama hakumzuia ni clear goal.

Swali kwako, alimzuia au hakumzuia!?
We nitapata shida kukuelekeza, tafuta picha ya mnato Pacome akiwa anamzuia beki wa Simba then niambie hapo offside inawezekana vipi wakati mwenye mpira alikuwa Max na alikuwa mbele ya Pacome na Beki wa Simba.
 
Pacome hakumzuia yule beki wa Simba?

Kama alimzuia basi aliingilia mchezo ni Offside, kama hakumzuia ni clear goal.

Swali kwako, alimzuia au hakumzuia!?
Kitendo cha Maxi kuumiliki mpira pasipo kumshirikisha Pacome ikaua offside aliyekuwepo Pacome hapo awali. Kama kumzuia au kuingilia mchezo ni baada ya Maxi kuumiliki mpira. Angalia clip hii uone goli alilofunga Messi
 
Back
Top Bottom