Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,787 Reaction score 37,991 Jan 23, 2026 #1 Dah hii Al Ahly ya Sudan ya Libya Yaan nilifikia uamuzi wa kusema wakizingua kama afcon tutoke uwanjan Ila.kwa mpira huu tutakufa nao
Dah hii Al Ahly ya Sudan ya Libya Yaan nilifikia uamuzi wa kusema wakizingua kama afcon tutoke uwanjan Ila.kwa mpira huu tutakufa nao
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,362 Reaction score 195,199 Jan 23, 2026 #2 Kila la kheri team Tanzania... Cc: Mahondaw
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,368 Reaction score 10,467 Jan 23, 2026 #3 Chuma 2 - 0. 😂😂🤣
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,003 Reaction score 184,708 Jan 23, 2026 #4 Smart911 said: Kila la kheri team Tanzania... Cc: Mahondaw Click to expand... Amen amen