Maendeleo ya refinery ya Dangote.

Maendeleo ya refinery ya Dangote.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,673
Reaction score
20,654
Dangote ameiheshimisha sana Afrika. Refinery yake kwa sasa inachakata mapipa 700,000 kwa siku. Kwa miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu imetengeneza faida ya dola 1.8 bilioni.

Kwa mwezi huu na mwezi ujao watauza hisa. Inaingia sokoni kama kampuni ya gharama zaidi kuwahi kuuza hisa Afrika. Gharama yake inawekwa kuwa dola bilioni 49.
Watatumia mauzo ya hisa kupanua refinery yao hadi kufikia mapipa milioni 1.4 uzalishaji huu unstarajiwa kuanza mwaka 2029.

Pia kampuni ya BUA inatarajia kumaliza refinery yake ya mapipa 200,000 huko jimbo la Akwa Ibom.
Afrika imechelewa kwenye sekta ya mafuta, lakini sasa inaelekea pazuri na mahitaji ya mafuta bado yanatarajiwa kuwa juu kwa karne chache zijazo.
images (91).jpeg
 
Back
Top Bottom