Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.

Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.

Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.

Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.

Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

Ole Mushi
0712702602
Maneno mujarabu, kwa maana nyingine, Ccm ina ongozwa na CHADEMA, means hata serikali ya Ccm inaongozwa na Chadema ndio maana hata Baba lao amefuata sera za Chadema. Acha hao malala nje wapayuke tuu maana hawajielewi
 
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga.

Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

++++++++++++++++++++++++++
du!!!
Hahahahahaaaaaa........huo ndio ukweli mkuu. Ila hawa walamba makalio hawaelewi na hawatakuja kuelewa
 
Maneno mujarabu, kwa maana nyingine, Ccm ina ongozwa na CHADEMA, means hata serikali ya Ccm inaongozwa na Chadema ndio maana hata Baba lao amefuata sera za Chadema. Acha hao malala nje wapayuke tuu maana hawajielewi
Hatari sn vijana wa lumumba wakija kushtuka wamezeeka kwa kusifia na kulamba buku 7 zao
 
Ngoma inogile
IMG-20200711-WA0005.jpg
 
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
Wazanzibar wamejiapiza kwamba huyu mgombea waliyechaguliwa na Watanganyika akiambulia hata kura elfu 50 kwenye uchaguzi wa Zanzibar akatambike
 
Ki mantiki maoni ya mleta mada si sawa kwani kama wazanzibari hawampendi jina lake lisinge ingia Dodoma labda kama walijecha nominations zilizotoa majina matano huko zanzibar.
Mwisho wa siku acha wazanzibari waamue October (tuombe tu wasiu jecha uchaguzi ujao).
 
Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar kuchagua kiongozi wao imeheshimiwa? Mbona kama wamechaguliwa kiongozi au wenzangu mnalionaje hili.Hawana haki ya kulalamika?View attachment 1504475
He is unpopular in Zanzibar. That is why he said he is going to rule Zanzibar as Magufuli does. This means peoples' votes are valueless in Tz.
 
Ki mantiki maoni ya mleta mada si sawa kwani kama wazanzibari hawampendi jina lake lisinge ingia Dodoma labda kama walijecha nominations zilizotoa majina matano huko zanzibar.
Mwisho wa siku acha wazanzibari waamue October (tuombe tu wasiu jecha uchaguzi ujao).
Acha ujinga wewe, kamati ya Zanzibar ililazimishwa kuleta majina ya mwinyi na Prof. Makame miongoni mwa yale matano.
 
Ndio wametumia haki yao ya kura kutoa feedback kua hawamzimiki hata kama watu wa bara mnampigia chapuo!
 
Acha ujinga wewe, kamati ya Zanzibar ililazimishwa kuleta majina ya mwinyi na Prof. Makame miongoni mwa yale matano.
Mkuu usiwe na jazba inaelekea hujasoma hata nilichoandika kwa umakini. Sasa sijui kati yako na yangu nani ameonyesha ujinga?
 
Mkuu usiwe na jazba inaelekea hujasoma hata nilichoandika kwa umakini. Sasa sijui kati yako na yangu nani ameonyesha ujinga?
Kwa hiyo akili yako una hakika yale majina matano kutoka Zanzibar, yalitokana na ridhaa ya Wazanzibari? Acha kutumia masaburi Mkuu.
 
Kwa hiyo akili yako una hakika yale majina matano kutoka Zanzibar, yalitokana na ridhaa ya Wazanzibari? Acha kutumia masaburi Mkuu.
Kwanza jifunze kutumia lugha ya kistaraabu huwezi kuniita mkuu halafu kwenye sentensi hiyo hiyo unaweka mambo ya masaburi. Pili inaonekana bado hujasoma nilicho andika kwa umakini. Jaribu tena.
 
Kwanza jifunze kutumia lugha ya kistaraabu huwezi kuniita mkuu halafu kwenye sentensi hiyo hiyo unaweka mambo ya masaburi. Pili inaonekana bado hujasoma nilicho andika kwa umakini. Jaribu tena.
Una shida gani we kiumbe? Yale majina matano kutoka Zanzibar ni SHINIKIZO tu, hakukuwa na ridhaa yeyote ya Wazanzibari. Hakukuwa na kupigiwa kura huko Zanzibar, waliteuliwa tu.
 
Una shida gani we kiumbe? Yale majina matano kutoka Zanzibar ni SHINIKIZO tu, hakukuwa na ridhaa yeyote ya Wazanzibari. Hakukuwa na kupigiwa kura huko Zanzibar, waliteuliwa tu.
Tulianzia hapa:
Masiya said:
Ki mantiki maoni ya mleta mada si sawa kwani kama wazanzibari hawampendi jina lake lisinge ingia Dodoma labda kama walijecha nominations zilizotoa majina matano huko zanzibar.
Mwisho wa siku acha wazanzibari waamue October (tuombe tu wasiu jecha uchaguzi ujao).
Ukajibu hivi: Acha ujinga wewe, kamati ya Zanzibar ililazimishwa kuleta majina ya mwinyi na Prof. Makame miongoni mwa yale matano.

Mambo: Katika majina 30+ walitakiwa wapeleke 5 (sasa hiyo ya kulazimishwa kuweka majina ya Mwinyi na Mbarawa kama ni kweli ina maana kuna mtu kaingilia nominations hizo. Kama ni hivyo basi wamejecha (au mkuu humfahamu Jecha na mambo yake). Tukiongea wazanzibari hapa tunaongelea wale wenye mamlaka ya kuteua hayo majina ndani ya CCM. Na kwa sababu naelewa sio wazanzibari wote wanahusika ndio mana nikasema "Mwisho wa siku acha wazanzibari waamue October (tuombe tu wasiu jecha uchaguzi ujao)".
Sasa kama hunielewi sawa lakini sioni swala la ujinga, masaburi au wewe kiumbe linatoka wapi. Tafakari tena.
 
Hili Suala linafikirisha lakini pia linasikitisha sana.

Zanzibar wanapokwa haki yao ya kidwmokrasia mchana kweupe. Soo sad.
 
Back
Top Bottom