Hussein machozi kubadili dini kisa mauwaji ya mama kizimkazi

Hussein machozi kubadili dini kisa mauwaji ya mama kizimkazi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,961
Reaction score
42,166
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram

Namshauli awe msabato au kkkt

YESU KRISTO ni mwaminifu sana

Karbu husen machozi kwenye njian ya uzima

Jina lako uitwe stephano SHAHIDI

Steve Steven

SAYUNI BOY
 
Amefanya maamuzi sahihi ya kumwamini Yesu Kristo
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram

Namshauli awe msabato au kkkt

YESU KRISTO ni mwaminifu sana

Karbu husen machozi kwenye njian ya uzima

Jina lako uitwe stephano SHAHIDI

Steve Steven

SAYUNI BOY
Huko nako hakuna kheri vile vile. Yeye abaki na imani ktk Ubinadamu yaani Humanitarian.

Ukiwa humu nizaidi ya ukristo na uislam wa kinafiki dini za wazungu na waarabu ambao wa9 wenyewe hawaziishi tena
Just believe in prolife..
Godbless You
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom