kubadili dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adryz

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

    Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake. Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu. Wakristo nikaribisheni. Eli Cohen secretarybird Monetary doctor Beira Boy Seran min -me raraa reree...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WOLPER kubadili dini tena; Mchungaji T.A.G amuonya

    Tetesi za mjasiriamali aliyejipata miaka ya karibuni na staa wa filamu Tanzania, Jacqueline Masawe Wolper kwamba yeye na watoto wake wapo njiani kubadili dini, ndiyo trendi ya mitandaoni kwa sasa. Habari kutoka huko mitandaoni zinasema kuwa, Wolper anatamani kutoka kwenye Ukristo ambao ni wa...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Hussein machozi kubadili dini kisa mauwaji ya mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram Namshauli awe msabato au kkkt YESU KRISTO ni mwaminifu sana Karbu husen machozi kwenye njian ya uzima Jina lako uitwe stephano SHAHIDI Steve Steven SAYUNI BOY
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kubadili dini kisa mahusiano ni usaliti wa imani au ni Upendo?

    Wakuu, naombeni ,msaada wa ushauri, Hivi ni sahihi kubadili dini kisa mahusiano? nimekua nikipitia wakati mgumu wa kufanya maaumuzi binafsi ya kubadili dini na kufuata imani ya mwenza wangu ninaempenda, tumeshindwa kufikia muafaka wa ndoa maana yeye hawezi kubadili dini ni mwanaume na kwa...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

    ugonile, huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa...
Back
Top Bottom