Husninyo akiwa na............

huyo swahiba wangu wa ukwehe, chake changu changu chake. Sometimes tunabadilishana password. Kama una msg yangu mwachie yeye.
Sawa ila nataka kumleta huku Arumeru Mashariki aje anisaidie kupiga majungu na Fitina hadi tushinde uchaguzi maana najua uwepo wake tayari ni ushindi kwetu
 
Sawa ila nataka kumleta huku Arumeru Mashariki aje anisaidie kupiga majungu na Fitina hadi tushinde uchaguzi maana najua uwepo wake tayari ni ushindi kwetu

khaa! Swahiba wangu hana na hayawezi majungu labda umchukue amy.
 
huyo swahiba wangu wa ukwehe, chake changu changu chake. Sometimes tunabadilishana password. Kama una msg yangu mwachie yeye.
Thanks swahiba, mie nakupendea hapo tu huwa unanipigania hata kama nimelog off.. Ubarikiwe!
 
Hawako pamoja hawa ndio maana unaona ana landa landa, hujambo lakini naona umeamua kufotolewa ukiwa high

Hivi nitonye ndo kusema SL keshakuwekea Kingo mazima? Nina mpango wa kuanzisha chama cha wenye kingo hapa JF lol
 
khaa! Swahiba wangu hana na hayawezi majungu labda umchukue amy.
Husny kwa Amy unamwonea....yule ni mtoto mtulivu sana....hana majungu wala utata na mtu....
Halafu ushanifanya nimmiss sana....Ngoja nimsake faster
 
hehehe! Lawyer nishakuja. Cv imechafuliwa sana. Nikiona sipati pms za vidume nitajua ni gundu la katavi hili. Lol.

Dah! tangia nione hii picha hata mimi nafkiria mara mbilimbili kukuPM, yaani natetemeka kama nina maleria plus 4
 
Hawako pamoja hawa ndio maana unaona ana landa landa, hujambo lakini naona umeamua kufotolewa ukiwa high
Swahiba ni kweli siko nae na inaniuma sana...kwanza nilijua wewe ndo umenipiga bao ila kumbe wewe Sweety kakubana kooo....Twende zetu kwenye banana wine
 
Hehehehe kama uko kama hilo jimama au at least unalikaribia,naomba nilejeshee PM zangu zote.
Hahahaaaa hilo ni lako aisee mi simoooooo.....mi ni wa vipotabo tu....Rahaaaaaaaa sitaki shida na gharama za kuchonga chaga kila kukicha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom