Husninyo akiwa na............

Husninyo akiwa na............

Yeah... Very well and you...

Hata mimi nimekumisijee...! Vipi rafiki yangu Nitty,anakutreat vizuri?
Zaidi ya vizuri asee, raha tupu!

Nafurahi kukuona humu kwenye jamvi...wapotea sana siku hizi nini tatizo?
 
Zaidi ya vizuri asee, raha tupu!

Nafurahi kukuona humu kwenye jamvi...wapotea sana siku hizi nini tatizo?

Shem siwezi kuelezea mmoja kwa moja tatizo. Ila this time I believe.. Tutakuwa pamoja..
 
Back
Top Bottom