Husninyo akiwa na............

Husninyo akiwa na............

Swahiba ni kweli siko nae na inaniuma sana...kwanza nilijua wewe ndo umenipiga bao ila kumbe wewe Sweety kakubana kooo....Twende zetu kwenye banana wine
Ulikuwa hujui kuwa abiria chunga mzigo wako ndio mpango mzima!
 
Hivi nitonye ndo kusema SL keshakuwekea Kingo mazima? Nina mpango wa kuanzisha chama cha wenye kingo hapa JF lol
Weka tu Kaizer, nitonye nimemwekea mitambo maalumu ole wake atakayejisogeza!
 
Ulikuwa hujui kuwa abiria chunga mzigo wako ndio mpango mzima!

Nawewe ukisifiwa kidogo bichwa hilooooo wakati na wewe huwa unalalamika Nitty kapotea.
Teh hivi SL hujamwona Amyner mahali kokote jamani?Nisaidie basi kumtafuta maana nakosa raha hapa
 
Weka tu Kaizer, nitonye nimemwekea mitambo maalumu ole wake atakayejisogeza!

Hata mimi najitolea kukulindia tukiwa nae kule kwenye unywaji wa banana na pure....nawewe nisaidie kumpata bibie
 
Nawewe ukisifiwa kidogo bichwa hilooooo wakati na wewe huwa unalalamika Nitty kapotea.
Teh hivi SL hujamwona Amyner mahali kokote jamani?Nisaidie basi kumtafuta maana nakosa raha hapa
Hehehe! Kumbe sazingine una kheshima eeh! Najitolea kukusaidia kumtafuta!

Amynerrr eee, Amynerrrr, we Amynerrr hebu kuja hapa acha kumtesa mtoto wa mwanamke mwenzio jamani!
 
Simtafuti tena Amyner.

Mbona kigeugeu? Namaanisha picha ya sasa wewe ni kipotabo sana tena kuliko hata Amy wangu....siunakumbuka siku ile kule nilipokupiga ile picha? Umepungua zaidi kwa sasa..yan umekuwa potaboooo....Jamani mtafute basi si nishakusifia tayari SL?
 
Ngastuka! Sidanganyiki.
 
Nawewe ukisifiwa kidogo bichwa hilooooo wakati na wewe huwa unalalamika Nitty kapotea.
Teh hivi SL hujamwona Amyner mahali kokote jamani?Nisaidie basi kumtafuta maana nakosa raha hapa

Hivi Babu hayupo mjini eeh?
 
Mbona kigeugeu? Namaanisha picha ya sasa wewe ni kipotabo sana tena kuliko hata Amy wangu....siunakumbuka siku ile kule nilipokupiga ile picha? Umepungua zaidi kwa sasa..yan umekuwa potaboooo....Jamani mtafute basi si nishakusifia tayari SL?

Hujaambiwa kama natembea na sime kiunoni?
 
Dah leo nanyanyasika aisee....
Amyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy njoo nisaidie mama....wataniua kwa pressure hawa watu...hawana hata huruma
 
Utajiju na kengele zako hizo ole wako umguse SL
 
Back
Top Bottom