Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

"Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao."

😀😀😀😀
hauwezagi kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa wewe
 
Si atarudi baada ya kutoka huko alikoitwa kwa filimbi..Tatizo liko wapi mkuu?
Hakuna tatizo sisi tunapenda hivyo hivyooo kwan kuna shidaa hata akiwa anajiandaa kumega tunda aitweee hakuna neno
 
Tunaishi mikoa tofauti, his daughter now is 10 months.

Nimeona naye mwaka juzi kipindi ndoa ikiwa na miezi 2 tu.
Safiii sana aiseee nina marafiki zangu 4 wote wamejiweka kwa wajedaaa napata ushawishi sana wa kuwa na mjedaaa
 
"Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao."

😀😀😀😀
hauwezagi kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa wewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeona hapooo tu mkuu
Wale wavivu wameishia kwenye picha tu
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwa sababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizur kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupendaa balaaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa .

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.
View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Duuuuh!
Hamna mjeda ambaye sio kicheche
Sio ofisa wala kuruta, hawa jamaa ni malaya hatari.
Hivi King'asti bado yupo humu?
 
Umeshapiga mambo yakooo[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
Kama kawaida, hapa nacheka mwenyewe tu, maana naangalia tv upside down, nacheka jinsi watu wanavyotembea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwa sababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizur kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupendaa balaaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa .

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.
View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
siku nyingine utusifie na sisi wanamgambo au kwasababu hatulipwi mshahara?
 
kama simba, akishuka unaona kabisa kuna mwanaume alipita
Mm huwa napenda tu wanavyojaliana wana umoja kwenye shida na rahaa wanajeshi wapo vizur aiseeeeh sifa ziwafikie huko mliko kutoka kwa Demiss
 
Back
Top Bottom