Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Tuma ela bili elfu 50 kwa hisani ya watu wa china
IMG_20180227_222655.jpeg

Unataka kunipa elf 20 mbn bill elf 30
 
Aisee niliwahi pendwa na commando, sema nikaogopa nisijegeuzwa kitenesi.
Mwenzio kuna mjeda yupo Sudan ananipigia video call kila sikuu

Akirud naweza kuolewa naye maana siyo kwa ahadi anazonipaaa
 
Mwenzio kuna mjeda yupo Sudan ananipigia video call kila sikuu

Akirud naweza kuolewa naye maana siyo kwa ahadi anazonipaaa
Akirudi mchune usimuache hata mfupa maana dola itakua zinamuwasha.
 
Huyo atakuwa yupo kitengo cha Ngerengere katikati ya Chalinze na Moro wanakulaga bata hao .

Hauko peke yako Binti. Hata huko mbele baadhi ya wanawake wanawapenda sana wanajeshi, hasa wa jeshi la anga! Sijui ni yake magwanda yao?
 
Ila sasa siku tukimkamata mchepuko wako ataisoma namba aisee.Atajuta kuzaliwa na ataichukia hiyo siku milele
Nalitambua hilo haya chagua hapo handsome mmoja unayejua huyu anamfaa Demiss nipm hapo ajichukulie mukeeee
 
Nalitambua hilo haya chagua hapo handsome mmoja unayejua huyu anamfaa Demiss nipm hapo ajichukulie mukeeee
Umri wako una range wapi aisee? Maana hata mimi naweza kuja kwako kusafisha rungu.Me nipo Gomz
 
Hauko peke yako Binti. Hata huko mbele baadhi ya wanawake wanawapenda sana wanajeshi, hasa wa jeshi la anga! Sijui ni yake magwanda yao?
Mkuu kwenye andiko langu nimeweka baadhi ya sifa na mambo yanayopelekea hali kama hiyo
 
Nadhani huwajui hao watu vizuri tuulize tuliopita Depo tutakujuza vizuri. Anyway endelea na mtazamo wako hafifu. Mwanajeshi anaweza kuwa kifuani kwako anakugegeda filimbi au bigwa likipigwa tuu mnaishia hapo tuu.
Wakiona mrembo mzuri yeyote watampata kwa gharama yoyote hutakuwa peke yako
Ulevi ndo jadi yao wanalewa chakari hadi sio vizuri
 
Back
Top Bottom