Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Sio wao tuu wengi hatupendi wasomi watu wanapenda league kama nini saa zote wao nikufikiri kukudhibiti
Kuna wanaume ukimwambia umeishia la saba anakupiga kibuti
 
Hakuna walevi mbwa kama wanajeshi kuna Captain fulani rafiki yangu siku ya harusi yake alilewa Zaidi ya sisi wageni wengine, sema kwa kweli mtungi ulikuwa wa kumwaga...
 
Unawapenda wakiwa maeneo kama hayo au kitandani???
IMG_20180224_180112.jpg
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwa sababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizur kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupendaa balaaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa .

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.
View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
ahhhh ahhhh ahhha haaaa
 
Haohao ndio wazuri wanajua mume ananafasi gani sio nyie wa huku hajulikani mume ni yupi na mke ni yupi ndani
Sawa hakuna nenoo hayo ndo maisha
Ila Demiss anapenda mahandsome
 
Back
Top Bottom