Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Hapana aisee, naiogopa sana hiyo kazi, MI nI mwela, wazee WA pushup kwenye godoro hatutaki shida.
Sawa unaogopa kutongozwa pm baada ya kujulikana wewe mjeda unapenda kula vizur kweli hata mm lazima nikuzukie nijaribu bahat
 
Hapana aisee, naiogopa sana hiyo kazi, MI nI mwela, wazee WA pushup kwenye godoro hatutaki shida.
Kazi ya majesh n ngumu ayeeeee co kama polisiii ( pushup kwenye godoro)
Kazi ya majeshi n ngumu ayeeeee co kama polisii ayeeee


Hebu tuimbe hii chenja poti
 
Ndio maana hata mimi nataka niende jeshi maana kila dada anatama "a man in uniform " ngoja nitafute chance na mimi..

Onyo:sio nikirudi kutoka depo nikute mmebadirika mkaanza kutaka wapiga debe maana nyie wanawake sio watu wa kuaminika leo mnaweza kupenda wajeda kesho mkataka madokta
 
😀😀
basi sawa..mi naitaka hiyo konyagi ya kichina tu
Usijali kuna rafiki yang prof wa UDOM ni mchina ndo huwa ananiletea hizo mambo akienda Dar weekend usjali Jumapili jion nitkuletea
 
Back
Top Bottom