Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tuko pamojaaaa
Hao jamaa unaowasifia kwanza ni wachafu. Nguo zao madoa tupu 😛 😛 bora mimi fundi overall langu rangi moja tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
 
Sasa ukiwapata unipasishie namie mmoja shost
Usijali nipo hapa kambi ya jeshi ya Ihumwa toka mchana napishana nao wamejaaa telee wanageuka tu kuchungulia wowowo langu sjui kama nitamaliza kazi hii iliyoniletaaa majaribu hayaaa
 
Nadhani huwajui hao watu vizuri tuulize tuliopita Depo tutakujuza vizuri. Anyway endelea na mtazamo wako hafifu. Mwanajeshi anaweza kuwa kifuani kwako anakugegeda filimbi au bigwa likipigwa tuu mnaishia hapo tuu.
Wakiona mrembo mzuri yeyote watampata kwa gharama yoyote hutakuwa peke yako
Ulevi ndo jadi yao wanalewa chakari hadi sio vizuri
Si atarudi baada ya kutoka huko alikoitwa kwa filimbi..Tatizo liko wapi mkuu?
 
Hao jamaa unaowasifia kwanza ni wachafu. Nguo zao madoa tupu [emoji14] [emoji14] bora mimi fundi overall langu rangi moja tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
Umeshapiga mambo yakooo[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom