Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Kutoa pesa kwao sio shida kama kakupenda kweli. Ila sema mmhh hawapo romantic..
 
Kiukweli mwanaume wa kweli kwangu ni mjeshi tu hawa watu ni balaaaa jamani kiiikuuubwaaa ni wasafiiiiii wanaume wengine mtanisamehe wanajeshi oyeee
Oyeeeee wanajeshi bhn ndo wanaume shost kunywa sodaa tafadhali
 
Nature ya kazi hiyo inafanya muda mwingi wawe mbali na wenzi, kwahiyo wanakuwà na 'ukame' na ile kitu.
Ndio maana unaona kama wanajali sana wanawake na hawachagui.
Wamesaidia sana hasa wadada wasio na kaziii wanaoa tu bila kubagua
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mdada fulani hivi mwanajeshe wa kutoka Iringa jina kapuni yaani amri za kijeshi alizihamishia mpaka kwenye mapenzi ilinibidi niseme kwaheri . Nikang'atuka kimnya kimnya. Usije niambia eti mapenzi na mjeta eti huwa yananoga hapana maana hawajuwagi kudeka wala nini.
wanadeka bhn
 
Wanakesha bar halafu hawachagui wanawake,na wanapenda sana malaya
 
Sio wao tuu wengi hatupendi wasomi watu wanapenda league kama nini saa zote wao nikufikiri kukudhibiti
 
Sijambo kaka Ali.....
Naamini Allah anazidi kukutia nguvu baada tatizo lililokupata!! Pole sana lakini amini kila litupatalo ni mpango wake Allah....

Miss you more!!!
Ahsante sana.
 
Yaani wanajeshi zile gwanda zao zinanihamasishaga nikiwaona ila wakinisogelea karibu. Napenda kuwadate tu ila sio mambo ya ndoa wala nini maana suala la kuzaa nae mara unasikia anaenda wapi sijui kwenye mission mi roho yangu ndogo naweza kufa. I wish kweli siku nijaribu mwanajeshi
ni watamu hatari sio kama hawa chips yai, wajeda wana pumzi
 
Back
Top Bottom