Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Kama kawaida, hapa nacheka mwenyewe tu, maana naangalia tv upside down, nacheka jinsi watu wanavyotembea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa na mm nimepiga hii kitu[emoji377][emoji377][emoji377]nikaona wanajeshi wanapita mbele ya macho yanguuuu
 
imenifurahisha tu hiyo nyongeza
Nisingeweka nyongeza watu wangeniuliza wee si unapenda mahandsome kwann unasifia wajeda wenye sura ngumu kama Vichwa vya treni(vibelenge)
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sawa na mm nimepiga hii kitu[emoji377][emoji377][emoji377]nikaona wanajeshi wanapita mbele ya macho yanguuuu
Castle lite au[emoji124][emoji125][emoji125]
 
Nisingeweka nyongeza watu wangeniuliza wee si unapenda mahandsome kwann unasifia wajeda wenye sura ngumu kama Vichwa vya treni(vibelenge)
😀😀😀😀
ungeacha tu ili na vibelenge wapate moyo kuwa wanaweza kuja pm kutupiamo
 
Hakuna tatizo sisi tunapenda hivyo hivyooo kwan kuna shidaa hata akiwa anajiandaa kumega tunda aitweee hakuna neno
Ila wanapenda kucheza rough..Hahahaha, Sijui ndo nature inawabeba.
 
Back
Top Bottom