Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
KheeeeRoja afandeee[emoji125] [emoji125] [emoji125]
KheeeeRoja afandeee[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kuingia choo cha kiume kama wewe ni mwanamke nenda kwa mwanajeshi
Kuna singo maza wengi mtaani. .. ukiuliza baba mtoto nani anakwambia mjeshi na fande
Yan wew huyo ulomkuta ni mgambo sio mwanajeshi they are very smart physicallyHao jamaa unaowasifia kwanza ni wachafu. Nguo zao madoa tupu [emoji14] [emoji14] bora mimi fundi overall langu rangi moja tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji377][emoji377][emoji377][emoji124][emoji125][emoji125]
Ebu nitumie pm kwanza huku najiandaa kuja kunduchiTeh Teh Uje Kunduchi
Hao single mothers walikubali kuwa michepuko dear wanaoa ila wanachepuka sana yan hapo tu ndo balaa linapoanzia,,na wadada wengi mjini sikuhzi wanapenda kuwaganda wanaume akijua pana uhakika wa maisha sasa akija gundua mume wa mtu too late na mimba kashabeba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ache tu awadanganye wataliaa hao wanaokubaliana nae ohoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waooooh mwanzo nilipata wakat mgumu watu kuelewa namaanisha nnUpo free sana,unajiachia,huogopi mtu wala watu watasema nini,huna aibu za kike,unataka haki zako hata kama inatia aibu,woga na aibu za kike umetupa kule,shaka huna!.....kwa asili ya thread zako you look like a woman of the year!!
Haya siyo matusi haya[emoji115]?!!![emoji53][emoji53][emoji53]We ache tu awadanganye wataliaa hao wanaokubaliana nae ohoo
My unapitwa hukuu Ushauri: Matumizi ya Vidole katika tendo la ndoa yatumike vizuri..
Nadhani unavuta mibangi...Waooooh mwanzo nilipata wakat mgumu watu kuelewa namaanisha nn
Ni ngumu sana kuwasema wanaume kasoro zao lazima wakuponde ipasavyo
Khaaa ameshayaona bado kujibu tu mwambie nasubiri jibuHahahahah wewe ndo utume maombi fursa unachezea
Ahahahh halaf kuna kaukweli kabisa ulichoongeaWe ache tu awadanganye wataliaa hao wanaokubaliana nae ohoo
My unapitwa hukuu Ushauri: Matumizi ya Vidole katika tendo la ndoa yatumike vizuri..
Si hilo jinaaa!Khaaaa mkuuu mbn sijaelewaaa
Kweli kabisa ndo tatizo linalopelekea kutokea kwa single motherHao single mothers walikubali kuwa michepuko dear wanaoa ila wanachepuka sana yan hapo tu ndo balaa linapoanzia,,na wadada wengi mjini sikuhzi wanapenda kuwaganda wanaume akijua pana uhakika wa maisha sasa akija gundua mume wa mtu too late na mimba kashabeba