Okey...Ndo hivyoooo
Nani kasema ?Husband material
Mimi apaNani kasema ?
Ukitaka kuingia choo cha kiume kama wewe ni mwanamke nenda kwa mwanajeshiHabari wanajamvi?
Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)
Nasema hivi kwasababu gani?
-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.
-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"
-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)
-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.
-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.
-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.
-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.
-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.
-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.
-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.
View attachment 706815
Nyongeza kutoka kwa Demiss:
Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Roja afandeee[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nyuma geuka..
Mwendo wa Harakaaa! [emoji41][emoji41]
Pale jike imara linapotoa kauli![emoji28][emoji28][emoji28]Wala hujakosea siyo wachovu kabisa yani wapo imaraaa sana
Akikupiga tu vitatu mpaka amalize zamu ya kulinda huna hamuuuu
Sio akili yako hii...[emoji3][emoji3][emoji3]Roja afandeee[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuanzia leo kutokana na thread zako humu JF nakubatiza/nakuita jike imara!"Jike imara"
Ndo nn
Fanya tomrrw ndio mpango utawala binafsiNitamtafuta basi Jinikisiran kama atakubali tujeeeee
Maeneo yangu niliyokuwa nikienda misere sana hapo.Fanya hiv kutaneni mile moja hapo kibaha stand conteiner bar
Upo free sana,unajiachia,huogopi mtu wala watu watasema nini,huna aibu za kike,unataka haki zako hata kama inatia aibu,woga na aibu za kike umetupa kule,shaka huna!.....kwa asili ya thread zako you look like a woman of the year!!Nipe maaana yake kwanza nione kama nitafurah au haitanipendeza
Sio lazima ufurahi likianzishwa na mimi namalizia...Nipe maaana yake kwanza nione kama nitafurah au haitanipendeza
Hahahahaha mwambie aandike barua vigezo na masharti nimekidhiFursa hiyooo mkuu