Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Mie ni nusu mjeda nilitoroka kambini miezi miwili kabla ya kufuzu mnipende kama wajeda kamili kina dada
 
Demiss wanajeshi wachawi sana yaani washirikina kila siku analeta waganga nyumbani kwake ili ajilinde
 
Mie ni nusu mjeda nilitoroka kambini miezi miwili kabla ya kufuzu mnipende kama wajeda kamili kina dada
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umekosa bahat mkuuu
 
Ukikutana name mjeda aliyetoka kozi akikupiga shoo moja tu na mimba juu ila hii ni siri yenu alafu huwa wanapimwa kabla hawajaajiriwa kama nanii inafanya kazi vizuri ukikutwa mtarimbo umelala hauna sifa
 
Na iman hujaoa unichukue nakupa offer
Kurutiiii huyooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nataka mdada mjeshi nimuoe nyie wengine sio wife material.
Pili mnapigika kirahisi na wauza bucha na wenye magenge.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Hujakaa kota za jeshi wewe hakuna watu malaya kama hao. Ila wewe ushafikisha idadi ya kukojolewa na watu wangapi hadi sasa?
 
Back
Top Bottom