Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Demiss wewe Mrs mjeda nini maana sio kwa ushuhuda huo mama
Kaka angu mjeda mm nimekulia mazingira ya wajedaa kwa sana nilivyokuja kwenye mazingira ya kawaida napo nikafanya utafit ndo nimekuja na jibu wanajeshi wanapenda kuoa hata la Saba B ili mradi uwe na akili za kumlelea familia tu
 
Ulikua unaishi nae nyumba za kota kakako ee.
 
Ahahahh halaf kuna kaukweli kabisa ulichoongea

Money Penny ni nani lakiniiii....... Nakujaaaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
image_search_1520239479133.jpeg

Nakuona unavyoenda kuchungulia
 
Na hiyo mitaa ya Ihumwa naona unaenda kujifunza mizinga na wasi wasi na wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Labda ungesema Kihangaiko au Kule kwa mainjinia Ngerengere
 
Ahahahh sijambo mdogo wangu unaendeleaje lakini huyo kaka angu hana madhara nitaenda
Sawa kabisaaaa huko kunduchi zaman walikuwa wanauza bia 1200 aiseee nimepasau kidogo ila palitaka kunitoa roho na bia zao za kwenye glass kubwaaa
 
Sawa kabisaaaa huko kunduchi zaman walikuwa wanauza bia 1200 aiseee nimepasau kidogo ila palitaka kunitoa roho na bia zao za kwenye glass kubwaaa
Itabidi niende tu huko
 
Mi sio mwanajeshi,ila huwa sijali mwanamke awe amesoma au hajasoma
 
Back
Top Bottom