Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Uko sahihi ila tatizo wapo busy ile mbaya hasa wale ambao wapo kwny escort security. Pia wana wivu hatari hashindwi kuku lisu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukimpenda mjeda habari ya mchepuko sijui kiben ten sahau maana akimjua huyo mwizi wake atachomfanya utalia siku hyo bila wewe kupigwa hata kibao
 
Sema wanajeshi bado wana vijisenti vya kuhonga tofauti na watumishi wengine serikalini.
 
kwa vile anakulenga ndo uje uwasifie jidanganye
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukimpenda mjeda habari ya mchepuko sijui kiben ten sahau maana akimjua huyo mwizi wake atachomfanya utalia siku hyo bila wewe kupigwa hata kibao
Oooh kumbee .......
 
Tatizo Wadada WNapenda Kuolewa! Shida Kuchepuka Maana Mjeda Mara Kaenda Congo, Somalia, Angola,... Kwa Hiyo Wanakuwa Wapweke Muda Mwingi Na Akirudi Akikufumania! Kaua! [emoji35][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Alafu we Demiss utakuwa unanifahamu siyo bure nikupe location uje hapa nilipo sahv
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilikuambia njoo Mbalamwezi hapa barabarani unazingua au nije huko magorofani kwenu hivi kuna watu kweli huko

Au tuende chocho kule machimbo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kama hujaoa nioe tu kwa kweli maana nyie mnaupendo wa dhati
Sijaoa. Karibu moyoni laaziz. Ntakupenda mpaka utanenepa na kuwa kama sanamu la michelini[emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kama hujaoa nioe tu kwa kweli maana nyie mnaupendo wa dhati
Sijaoa. Karibu moyoni laaziz. Ntakupenda mpaka utanenepa na kuwa kama sanamu la michelini[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom