Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Kati ya wapuuzi, wabadhirifu vijana ninaowajua Tz Polepole ni mmoja wao. Atawadanganya wasiomjua
 
Kama Mwanzoni alisema sio Mwanachama wa Chama Chochote na leo anakiri Kuwa ni Mwana Wa Magambani Tumweleweje. Ukiwa CCM Sifa Moja lazima Uwe Mwongo, Mtu wa Kusema Usiyoyaamini hata wewe Mwenyewe.

Kijana huyu ameonekana Kuwa Mchambuzi wa Mambo ya Kikatiba kwa weledi Mkubwa leo hii anatwambia kwamba ni GAMBA na Mwana wa Ufisadini, Lo ni ajabu Kweli.

Hivi kusema ukweli ni makosa?
 
Akafirie mbali huko. Bora angeendelea kusema hana chama. Sasa hv namuona kaoza tu kutokana na kuwa ktk bwawa la samaki waliooza. Hii habari imeniharibia siku yangu.

Usitake kila mtu aamini kile unachoamini wewe yule ni mtu ana uamuzi wa kuwa chama chochote.
 
Tukipata hamsini kama huyu pole pole nchi ingeamka miaka ishirini iliyopita

Wote watakuwa wanachambua tu na kukosoa na nchi itasimama Kwa kuogopa kutenda
 
Kasema sita hafai ameharibu mchakato wa katiba mpya hivyo hafai na wasira amekaa tangu uhuru hivyo Hana jipya
 
Kabla ya kuendelea kujazana upepo hapa ndani ni vema tukapata nambq yqke ya uanachama la sivyo tunazinguana hapa maana anazo kibao huyo kama popo!CCM inq msimamo wake huyu naona ni Yuda Eskariote!

Wewe unaye hoji uwanachama wa mtanzania kwenye chama cha siasa ni nani haswa? Huna haki ya kuhoji uwanachama wake kama ambavyo hakuna mtu anahoji uwanachama wako.
 
Usimuamini mwanasiasa akushikie akili yako.
 
Waryoba mnamkubali ingwa ni CCM, Shibuda hamumkubali ingawa ni CDM.

Kwanini mnamponda Polepole? Wanafiki.
 
Kwani nani kakuambia yeye Sio kilaza?

hizi ndo hasara za kujiunga kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumwa kwa maslahi ya ccm .umejiunga humu JF lini hata kujenga hoja hujui zaidi ya mipasho wakati mwingine uwe unasoma comment za wanaume ujifunze .
 
Back
Top Bottom