mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Makongoro Charles.
Kwa vile ni mchambuzi mzuri wa mambo ya kisiasa nilitegemea lazima aseme Charles Makongoro Nyerere ndo turufu pekee kwa CCM kama kweli wanataka kuendelea kukamata dola
Makongoro Charles.
Makongoro ametulia.Kwa vile ni mchambuzi mzuri wa mambo ya kisiasa nilitegemea lazima aseme Charles Makongoro Nyerere ndo turufu pekee kwa CCM kama kweli wanataka kuendelea kukamata dola
Hivi kusema ukweli ni makosa?
Waryoba mnamkubali ingwa ni CCM, Shibuda hamumkubali ingawa ni CDM.
Kwanini mnamponda Polepole? Wanafiki.
Kwa vile ni mchambuzi mzuri wa mambo ya kisiasa nilitegemea lazima aseme Charles Makongoro Nyerere ndo turufu pekee kwa CCM kama kweli wanataka kuendelea kukamata dola
Waryoba mnamkubali ingwa ni CCM, Shibuda hamumkubali ingawa ni CDM.
Kwanini mnamponda Polepole? Wanafiki.
Umeona eeh?hivi ndo ww ulikuwaga unscheza mpira ktk gazet la sani? hata post yako imesadifu jina la kobelo mzee wa waluwalu.
Makongoro ametulia.
mako hajawahi onja mchuzi wa pweza hatuwezi jua kama ni mlafi au la, bora lowasa tukikosa sana basi dr.mahiga,