Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Huyu naye amegeuza vyombo vya habari ni jukwaa lake la kisiasa, hana jipya tumemchoka.
 
Anatafuta umaarufu kuliko mwenyekiti wa tume mh jaji Warioba
 
Nilishangaa sana, wakati wa Bunge la Katiba alisema si mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila juzi kasema eti ni mwanachama wa CCM. Hivi Watanzania huu unafiki utaisha lini?
 
Mheshimiwa Polepole awachana live Lowasa,Membe,na Mizemgo...amesema kwamba,hawa wote wanakigawa chama na wanatumia fedha nyingi sana kuzunguka kutafuta wadhamini.....wengine ndege....mabasi!!!!Polepole anahoji namna ya upatikanaji wa fedha hizo wanazozunguka huko kusaka wadhamini.
 
Pinda, Lowassa, Membe, Wassira waombwe waondoe majina kuokoa chama. Kama wakigoma waondolewe, mwenye kuondoka watajua hakuwa mwenzao -Polepole
 
Nilishangaa sana, wakati wa Bunge la Katiba alisema si mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila juzi kasema eti ni mwanachama wa CCM. Hivi Watanzania huu unafiki utaisha lini?

Hiyo ndiyo Bongo mkuu.
 
Kama kubaki kwao ndo kutatuulia CCM, wabaki tu. Otherwise wakatwe tu maana tumechoka. Kwanza tuna maslahi gani na Pinda, EL, Joka la mdimu na CCM yao..??

Nasema wakatwe tu...!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Usiseme tumemchoka umemchoka mwenyewe. He is telling the truth about this nation.
 
Back
Top Bottom