Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Angebakia tu na uarakati wake katika kuiponda katiba pendekezwa. Huku kwenye uchaguzi atapotea kabisa
 
Hapana, Kijana anaonekana ku masta kotekote, kinachombeba ni uwezo wake wa kufikiri haraka na kupembua mambo technically, kwakweli sioni akishindwa tuzidi kumfatilia tu
 
Mheshimiwa Polepole awachana live Lowasa,Membe,na Mizengo...amesema kwamba,hawa wote wanakigawa chama na wanatumia fedha nyingi sana kuzunguka kutafuta wadhamini.....wengine ndege....mabasi!!!!Polepole anahoji namna ya upatikanaji wa fedha hizo wanazozunguka huko kusaka wadhamini.

Kazi kwa CCM sasa
 
Kanifurahisha sana aliposema kijana anatakiwa kulitumikia taifa wakati wa ujana wake, kwahivyo hawa watangaza nia vijana mfano; makamba na mwigulu wajiwekee akiba hapo baadae kwa kushika ngazi zingine za kawaida za kiuongozi kwamaana wakipewa hii ya urais watastaafu wakiwa bado vijana wenye nguvu
 
EL nje ya CCM ni kama samaki nje ya maji, kwa hiyo atapigana kufa na kupona abakie humo ccm kwa vyovyote iwavyo, kwasababu nje ya hapo huku nje hamna kitu ukiachilia mbali hizo umati za huko nje za kutengeneza. Hatoshi kama ilivyokuwa kwa Mrema miaka ya 90, na kimsingi yeye ndiye anayeihitaji ccm kuliko ccm inavyomhitaji yeye, na nd'o sababu ya utengenezaji matukio hayo kwenye team EL.
 
Watafanya kama kabila na nkurunzinza
 
  • Thanks
Reactions: H-K
Hapana, Kijana anaonekana ku masta kotekote, kinachombeba ni uwezo wake wa kufikiri haraka na kupembua mambo technically, kwakweli sioni akishindwa tuzidi kumfatilia tu

Utamfuatilia namna gani mkuu?
 
EL nje ya CCM ni kama samaki nje ya maji, kwa hiyo atapigana kufa na kupona abakie humo ccm kwa vyovyote iwavyo, kwasababu nje ya hapo huku nje hamna kitu ukiachilia mbali hizo umati za huko nje za kutengeneza. Hatoshi kama ilivyokuwa kwa Mrema miaka ya 90, na kimsingi yeye ndiye anayeihitaji ccm kuliko ccm inavyomhitaji yeye, na nd'o sababu ya utengenezaji matukio hayo kwenye team EL.

Kama unafikiria hivyo kwa lowasa unapotea kabisa,lowasa ni kila kitu ndani ya ccm,na kwa wenye maamuzi hawawezi kukubali kumpoteza lowasa.
 
yule dogo sio wa kumuamini saana naye unaweza ukute ni njaa zinamsumbua
 
uko sahihi mkuu hata mimi nilikuwa namkubali sana na mno ila naona sasa anazidisha sifa na mikogo ktk media. haogopi kurestishwa ini pisi?

Tatizo anasema kweli tupu ndo maana mnachukia especialy magamba mpaka yanahisi jamaa ni ukawa
 
Back
Top Bottom