Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

mwalimu wa siasa na mshauri mkubwa wa zitto kabwe mwalimu kaijage amemuuliza pole pole swali dhaifu sana
kaijage anamuuliza pole pole eti lowasa anapata wapi watu huyu vipi?
 
Naona kasema Mwigulu na January bado vijana sana hawana uzoefu wa kutosha serikalini hivyo wanahitaji zaidi uzoefu wa kiuongozi kabla ya kufikia URais. katoa mifan ya viongozi vojana kama yule wa Madagascar, Burundi etc wanavyosumbua.

Sasa yeye anamtaka nani? Au anamtaka wasira?
 
Akafirie mbali huko. Bora angeendelea kusema hana chama. Sasa hv namuona kaoza tu kutokana na kuwa ktk bwawa la samaki waliooza. Hii habari imeniharibia siku yangu.

Duuu,we jamaa umeshindikana kabisa
 
Kama Mwanzoni alisema sio Mwanachama wa Chama Chochote na leo anakiri Kuwa ni Mwana Wa Magambani Tumweleweje. Ukiwa CCM Sifa Moja lazima Uwe Mwongo, Mtu wa Kusema Usiyoyaamini hata wewe Mwenyewe.

Kijana huyu ameonekana Kuwa Mchambuzi wa Mambo ya Kikatiba kwa weledi Mkubwa leo hii anatwambia kwamba ni GAMBA na Mwana wa Ufisadini, Lo ni ajabu Kweli.

Polepole hakuwahi kusema sio mwanachama wa chama chochote hata siku moja,alikuwa anasema hata yeye ni mwanachama wa chama cha siasa na anakipenda sana chama chake
 
Ajitahidi ampitishe angalau kwenye 5 bora,ndio ajipange kumenyana na kimbunga cha ukawa.
Unatafuta balaa wewe!!
CCM hata ikimsimamisha Kbajaji, inachukua urais. CCM itachukua urais Tanzania Bara na Visiwani, hakuna cha UKAWA wala UKIKAPU.

Watch this space.... I know it's not Palatable.
 
Polepole Yupo Kwenye Oparesheni Maalumu, Jamaa Ni Jiniazi Sana. Ni Ukawa Pyua Ila Anaharibu Upande Wa Pili Bila Wao Kujijua. Kwanini Awashambulie Membe Na Lowasa?

Tutaona Mengi Mwaka Huu, Lakini Werevu Tu Watatambua Haya.
 
Polepole Yupo Kwenye Oparesheni Maalumu, Jamaa Ni Jiniazi Sana. Ni Ukawa Pyua Ila Anaharibu Upande Wa Pili Bila Wao Kujijua. Kwanini Awashambulie Membe Na Lowasa?p

Tutaona Mengi Mwaka Huu, Lakini Werevu Tu Watatambua Haya.
Nakuunga mkono huyu jamaa ni noma ni UKAWA damu
 
Wale si vibaraka wake? maana chama alikianzisha yeye eti kuwatishia nyau Ccm.
 
mwalimu wa siasa na mshauri mkubwa wa zitto kabwe mwalimu kaijage amemuuliza pole pole swali dhaifu sana
kaijage anamuuliza pole pole eti lowasa anapata wapi watu huyu vipi?
hii ndio sababu zilizotulazimu kufuta walimu wa UPE , ni weupe sana !
 
1977 katiba ya chama ndo ilihalibu kabisa.ss tukubali kuwa kunasehemu nchi yetu hatukuweka misingi mizuri..
 
Back
Top Bottom