Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

Baada ya kuficha hisia zake kwa muda mrefu,Hatimae polepole aweka wazi yeye ni mwanachama wa CCM yupo chanel ten tumfuatilie kada huyu
Amesema yeye anaammini kwenye misingi ya uanzishwaji wa chama hicho mwaka 1977
Ikumbukwe muda wote wa bunge la katiba kijana huyu alishasema mara nyingi kuwa yeye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini

mwishowe naye atakuja kuwa kilaza
 
pengi naye anawajaza mipango,dunia ya leo binaadamu hatuaminiani
 
Akafirie mbali huko. Bora angeendelea kusema hana chama. Sasa hv namuona kaoza tu kutokana na kuwa ktk bwawa la samaki waliooza. Hii habari imeniharibia siku yangu.
 
Kabla ya kuendelea kujazana upepo hapa ndani ni vema tukapata nambq yqke ya uanachama la sivyo tunazinguana hapa maana anazo kibao huyo kama popo!CCM inq msimamo wake huyu naona ni Yuda Eskariote!
 
Huyu kijana amedadavua vizuri ccm iyafanyie kazi maoni yake.
 
Back
Top Bottom