Madame; ni kweli haki zote anazo. Lakini ndo tusitake kujua washirika wake na timing yake??
Duh, Sasa ikiwa kila anafanya Jambo tumfuatilie, itakuwa tabu Sana!
Yaani na wewe tuanze kukufuatilia una lengo gani la kuhoji kazi ya Polepole
 
Ndiyo anafundisha vizuri sana... Lakini kwa nini sasa? Na anashirikiana na akina nani? Mbona alipokuwa kwenye enzi halitenda kinyume?
Kwa sababu ameona muda huu wanafunzi wake watamuelewa kwa ufasaha,
Suala la kufundisha linahitaji ushirikiano baina ya mwalimu na wanafunzi,
Taja mfano wa mafundisho yake yanayokinzana na alichokua anakisimamia kwenye enzi
 
POLEPOLE ASIBEZWE YUPO SAHIHI LABDA TU TUMUULIZE ALIKUWA WAPI? JIBU NI RAHISI ALIKUWA A ATETEA UGALI WAKE AMBAO HATA WEWE UNGETETEA HIVYO ASIBEZWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkuu kanuni za uongozi, Kama unaizijua, miongoni mwa hzo Ni kutokumkosoa au kwenda kinyume na Boss wako, ila inaruhusiwa kumkosoa binafsi,

Anachofanya polepole Ni kuona gari linayumba kwa Kuwa waendeshaji ni 2 ndo maana anajarib kutoa tahadhari ili, wale wanaoshika dhamana wajue..

Angalia sa iv majiz yanavo achiwa ngoja yajikusanye tu nakwambia kunamuanguko huko mbele ambao cjui Kama tutaamka..
 
Kwa sababu ameona muda huu wanafunzi wake watamuelewa kwa ufasaha,
Suala la kufundisha linahitaji ushirikiano baina ya mwalimu na wanafunzi,
Taja mfano wa mafundisho yake yanayokinzana na alichokua anakisimamia kwenye enzi
Jina lake lilirindima kuwa alihusika kununua watu waliokuwa na mawazo ya tofauti!
Aliwajibu ovyo walioenda kinyume na matarajio yao... unakumbuka sakata la wale wazee na wapiga kampeni timu ya Mama?
Hakuongea wala kufundisha anavyojitahidi kufanya sasa...
 
Kwa nini sasa hivi wenye mawazo tofauti na yake wasimnunue ili awapunguzie kelele ama kuwa na mtazamo tofauti ni jambo baya?
Kujibu hovyo ni suala la tabia ya mtu binafsi, kama ndio tabia yake basi tutegemee labda atawajibu hovyo pia wanaoona hatendi vyema,
Kuna mahali aliwekewa ratiba ya kufundisha?
 
LolHivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi

Huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo
emoji1313.png
l's ?
emoji1313.png
emoji1313.png

Right
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi

Huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?

Criticism and self criticism ni moja ya topic ambazo Mao Zedong alikuwa anapenda sana kuzungumzia. Labda huyu Polepole no young na hajui mambo haya.
Na hii ni idea ya Budha. Some other maybe I will have more time to discuss it. Lakini monks wana sessions of criticism and self criticism EVERY TWO WEEKS.
 
Xi Jinping. The Governance of China.
Nimetazama ukurasa wa kwanza. Kuna short excerpt from a speech.
Xi Jinping anasema wamechukua responsibility to govern the nation. In this short except responsibility inatajwa seven times.
Free people should govern themselves. They should be no one taking
responsibility for them. Au ndiyo mambo haya viongozi wa Tanzania wanaiga tunagombana kila siku.
Nadhani things get lost in translation. Kama Obama pale angesema I am committed to serve the nation.
 
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi

Huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?

Mkuu, Kimsboy nimerudia kuisoma Mada yako mara mbili. Mimi Mh. Polepole nimeanza kumfuatilia hoja zake kuanzia pale alipokuwa Mjumbe ndani ya Tume ya Katiba Mpya chini ya Mh. Warioba. Halafu wakati ameteuliwa kuwa mtumishi wa Umaa kuanzia Ukuu wa Wilaya, Katibu Mwenezi wa Chama na Mbunge wa kuteuliwa Viti Maalumu, hatua ya tatu ni baada ya Kuondolewa ndani ya Chama chake kama Katibu Mwenezi.

Katika hatua zote 3 nilikuwa namuona kama mtu/mwanasiasa anayefanya shughuli zake kutegemeana na viongozi aliokuwanao katika shughuli hiyo ama watu anaofanyanao kazi. Misimamo yake kietendaji ilitegemea yupo na boss gani. Ni mtu mwenye hoja na anazisimamia vyema. Hivyo basi kutokana hali hiyo ya kubadilika badilika kutokana na aina ya misimamo ya Viongozi unaofanya nao kazi, mimi namuona huyu Mh. Kuwa ni mtu anayefanya shughuli zake kwa FAIDA ZAKE na si TAIFA.
 
Back
Top Bottom