Mzalendo ni yule Yezebel anayewaletea tozo mpya kila mwezi
Tuambieni mnataka nini?
Magufuli hakuwakamua tozo mkampinga, Huyu kawakamua kidogo tu mnalalama.
Turudi kwenye mada, hapo Polepole ktk aliyoongea lipi limekukwaza?
Tunajadili mtu au unajadili hoja?
 
Huyu huyu ambaye alikuwa anakimbia na masanduku ya kura za wizi anaongezea ccm baada ya kushikwa pabaya na lisu kitu ambacho hawakutegemea? Huyu anahekuwa nchi za kidemokrasi na zinazofuata utawala bora ameshapondwa mawe. Halafu hana msimamo wakati wa jk aliisaport katiba mpya baadae alipopewa ulaji akairuka futi. Kipngozi wa hivi malayamalaya hafai. Ana njaa sana na akipewa uongozi anaweA uza hata nch. Halafu nakuuliza, hivi polepole huwa ni kijana au mzee mana huwa ananichanganya sana
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?

Mzalendo wa nyumbani kwako
 
"Tumekubaliana na Corona kwamba iondoke yenyewe na ituachie nchi yetu Tanzania"
 
Mchango wako mzuri sana na umesema kweli, ila viwango vya Jamii kubwa kinzani ya Jamhuri ya JF ni uwezo wa akili wa Mbowe tuu au kidogo Lisu. Kuna nini hapo.

Mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kiutendaji, ama akili kuzidi hao ambao kwao ndio yard stick zao, basi watakuona haufai, ni jamii ya kichekesho.

Wewe sifia jambazi, mwizi, kina-Amsterdam aka makaka poa, mafisadi au watu ambao hauto penda kuwa mifano bora kwa kizazi chako ujue utaungwa mkono saana katika Jamhuri ya JF.

Watu wanajisifia wasomi wakati uongozi wa chama chao ambao ni kioo chao cha chama imejaa mijitu hovyo: Mwenyekiti zero, Katibu Mkuu college drop out, Naibu katibu mkuu ni Form Four failure. Safu ambayo mwenye uwezo mzuri wa akili hawezi kujivunia, kuna chama hapo au kundi la hovyo la Saccos?

As a country we need more people of character like Pole pole.
 
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?

Hivi uzalendo unapimwa katika scale au units zipi kiasi cha muweza kulinganisha nao watu?
 
Ndoyule aliyegeuka nakudai katiba haihitajiki kwanza? Wakati alikuwamo kwenye tume?

Ndoyule alotuuliza kama tunajua "vieite" wakati vijijini hatujui hata majisafi!

Ndoyule alipambana upinzani ufe kibabe,hakutoa pole wenzie walipopigwa risasi,kufungwa bila hatia.

Ndoyule alonyima watumishi madaraja,semina,mishahara bora,kuongeza makato yabodi heslb etc

Ndowale walioingiza jeshi kwenye mambo yabiashara na kilimo?

Ndowalowalinda kina sabaya,muro wakati wakiongoza kibabe?

Ndowalofukuza watu kazi kiuonevu sasahivi wanarudishwa?

Ndowalosimamia uchaguzi wa 2020 uchafuzi ambao haujawahi kutokea?

Ndowaloagiza chama kukagua watumishi na kuwatisha mtumishi lazma uwe chamachao?

Ondoa ujinga kichwani acha ulofa wewe! Ninyi ndiyo mnatuharibiaga hii nchi kwa ujinga ulowajaa...jingasana!!
 
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi
huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo l's ?

Weka kipimo cha uzalendo tuone.
 
Mheshimiwa Sana,Ni kigeugeu na msaliti, wakati alipokuwa Tume ya Warioba nilimuelewa Sana, lakini alipoteuliwa kwenye system ya awamu ya tano akapiga U-turn,awamu ya sita amepiga around-turn, inabidi ajipambanue msimamo wake na ajitafakari.
 
Back
Top Bottom