Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
 
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwewenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?

What is the sense of achievements? Unataka ku achieve Nini?
 
1756715766489.png
 
Hawakuamini kuwa ipo siku rais atafia madarakani.
Makamu wa rais huwa ni mtu dhaifu ili asimfunike rais au asimpigie kelele akitafuna nchi
 
Fikra ya haraka, ni dhahiri hakuna mtu aliyedhani kama rais anaweza fia madarakani, --- labda kuanzia sasa ndo wanaweza anza tilia maanani
Exactly, there you are!
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Hili linaweza likawa jibu zuri
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

Huyo maza ni project ya wahuni wewe hiyo, hata Magu mwenyewe ni project ya wahuni baada ya wanamtandao kutibuana mwenye mamlaka wakati huo (utakuwa unamjua), akawauzia wenzake jumba bovu (yeye si ana protection ya kikatiba).Nadhani uliona mwamba alivyokinukisha...

Mwizi msakizie mbwa mkali mwenye njaa, halafu kaa pembeni uone balaa lake...
 
Majibu ya swali lako alishayasema jana.

Alisema baada ya kundi la wanamtandao kufanikiwa kuishika ccm 2005, ile dhana ya kutafuta kiongozi iliondoka na badala yake sasa watu wanatafuta uongozi na si kutafutwa. Kwa hiyo 2015 ndio ikatokea Hilo la kumchagua huyo. 2020 magufuli alimchagua Hussein mwinyi lakini haikuwezekana.

Alisema pia, wanamtandao wana mbinu na tabia nyingi, huweka viongozi ccm na pia upinzani ili kikitokea chochote Wanakua na back-up
 
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwewenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Vigezo hivyo hivyo ndio mlitumia kumfanya Salim Mwalimu awe mgombea mwenza wa Lisu mwaka 2020.Nyie manyumbu mna kumbukumbu fupi sana
 
Uko sahihi, hawakutegemea rais kufa akiwa madarakani, hivyo wanaweka mtu yeyote ku balance gender na kupata kura za wanawake
Sasa imekula kwao, subiri aingie kipindi cha pili ndio Wataona rangi yake halisi,

Pia katiba yetu Rais hastakiwi popote hata akiuza kila kitu,
 
Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwewenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Baada ya kumsikiliza slow slow toka aanze kufunguka nakuomba usiwe na haraka kwani nina hakika atalifafanua hili kwa wakati wake na kwa mtindo wake!
 
What is the sense of achievements? Unataka ku achieve Nini?
Anataka kujua kama wao kama viongozi wa juu wa CCM walijiridhisha kwamba mgombea mwenza anatosha au ilitumika mbinu kama aliyoifanya rais mstaafu ya kuwalasimisha wajumbe !!!!
 
1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi.

2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza kuongoza nchi in case anything happens to the president to be out of power by whatever cause?

3. Mlitumia vigezo gani kumweka Mgombea Mwewenza out of a multitude of well-educated women in Tanzania?
Mkumbushe pia kwamba CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa kuongoza nchi nini kifanyike ili kujinasua

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, a.k.a kujizima data, (kuahirisha kufikiri kizalendo)

Kwa Tanzania kundi hilo ni CCM mtandao linatumika kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki) a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behaviors such as flattering or hypocrisy similarly to working towards self-absorbed groups
 
Exactly, there you are!
Naam, na hoja nyingine ya kusapoti ni. Mzozo wa desturi kwamba makamu , waziri mkuu, spika wasigombee, muongozo ulitakiwa kueleza pia ikitokea makamu karithi kiti huko chamani kwao nini kinawaongoza, ukiona kuna utata ni dhahiri hawakufikiri,
 
Back
Top Bottom