Human Nature

Uko sahihi mkuu, hakuna kitu kinauma kama kufanya jambo kwa dhamira nzuri alafu Kuna mtu anakuharibia.

Mimi sijasema yote mkuu, dogo aliharibu mahusiano yangu na wazazi, kaka na madogo, Yaani Mimi nikaonekana tapeli.
Changanyia nilikua na mkopo na mshua ndio alinidhamini ikabidi nizime simu tuu, deni likaja kuwa la familia nzima😂😂😂.

Kuna muda Mungu tuu ndiye anaetupa nguvu ya kusonga mbele.

Mimi nilisema huyo dogo asijekufa bali maumivu niliyopitia mimi na ndugu zake waje kupitia.
 
Hisia sio natural

Neural science unaendelea kuprove kuwa kila kitu tudhaniacho ni natural kina causation, yaani huwezi kusema una feel kitu bila sababu

Kuna deep subconscious belief inayo sababishwa yote hayo bila wewe kujua

Ila pia mabadiliko ni utambuzi wa hicho chanzo na kuchagua busara despite the triggers
 
Yaani Mkuu mpaka leo huyu jamaa huwa namfikiria hata sijui nimfanyaje , amesababisha nikose kitu cha maana kwa huyu Mwarabu. Yaani ukichafukwa na roho unaweza ukaamua kumfanyia lolote kama kisasi.
 
Aisee hata kama alikua hana haki ya kuponya maumivu yake kwa kuumiza wengine
 
Dah aiseee 🤣🤣😢💔
Poleeeee sema jamaa alikua mnoma kaenda kuanzisha kilimo
Ndio kusema ukitaka mali utaipata shambani au 🤣🤣🙌🏼

Nimesikitika alivyosema et dogo nilikua namuokota alooooo alikua jasiri na matusi juu
 
Aiseeee ulipata funzo
Pole sana hope now kila kitu kipo sawa
 
Yaani huwa namfikiria huyu jamaa huwa simmalizi, eti alikubali kudharirika ili aniokoe mimi, ila dunia ndogo sana hii tutamalizana kibabe sana, unyonge hapana 😅
 
Yaani huwa namfikiria huyu jamaa huwa simmalizi, eti alikubali kudharirika ili aniokoe mimi, ila dunia ndogo sana hii tutamalizana kibabe sana, unyonge hapana 😅
Bana siku ya kumalizana nae ni kodi najitolea kurusha ngumi 🔥💪🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…