Hukumu ya Lema Tar 29/10/2012

twatumai kupata feedback mapema kadili utakavyopata info zaidi.we are waiting!

Kuna wakili mmoja wa kujitegemea alikuwa mahakamani leo ndiye kaleta hizo taarifa. Kwa sasa yuko na wateja wake, nikipata nafasi yakukutana naye, nitawajuza zaidi.
 
Sawa tu, maana sisi wengine hatujui tofauti ya hukumu(Judgement) na maamuzi(Ruling) kama ulivyo sema. sisi tunajua vyote ni sawa tu.

Ni uamuzi (RULING) kuhusu rufaa kama ni halali au imekatwa kimakosa kama wakili wa CCM alivyodai. Ikiishatolewa UAMUZI huo hapo kama upande wa Lema utashinda katika uamuzi huo, ndipo rufaa itakapoanza kupitiwa na mwisho kabisa jopo la majaji litatoa HUKUMU kwa maana ya Judgement siku nyingine itakayopangwa na sio 29 october tena.

Kwahiyo mambo bado sanaaaa mkuu
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliye karibu na vyanzo vya mahakama ni kwamba ile hukumu ya rufaa ya lema itatolewa tar 29/10/2012.

Nazidi kufuatilia na nitazidi kuwapa taarifa kadri nitakavyo zipata.

Asante kwa taharifa mkuu: Cha muhimu wasimnyime kugombea tena, kama watamvua ubunge wamvue ila awe na nafasi yakugombea tena ili tuweze kula hizo rushwa za magamba. Si unajua chaguzi ndogo wanahamishiaga hazina kwenye majimbo??
 
that is all about
 
Nadhani kitakachotolewa maamuzi ni kuhusu ile pingamizi iliyo wekwa na wakili msomi Alute kwamba rufaa ya lema ina mapungufu kisheria.For that case tunachotegemea ni mh.chande kuueleza umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kama ile rufaa ni batili au halali,ikiwa ni halali itasikilizwa ikiwa ni batili kisheria itatupiliwa mbali kama ile ya Sumbawanga.
Lile pingamizi nadhani jaji mkuu alitoa ruling siku ile ile
 
Kama wakimvua ubunge lema, nitajua ccm ina majuha!! Arusha yote inampenda mbunge wao, cjui kwa nn wanataka kuwateulia mbunge wanaemtaka wao!
 
Habari za uhakika nilizozipata kutoka kwa kamanda mwenyewe Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ni kwamba ile rufaa ya kesi iliyomvua ubunge itasikilizwa tarehe 29 nov 2012 jijini Dar es salaam.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani 30/10/2012 lema anarudi bungeni

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa hali hii naanza kuona dalili za mahakama ya rufaa kutaka kusawazisha goli la sumbawanga. Kwanini wameihamishia dsm?
 
Habari za uhakika nilizozipata kutoka kwa kamanda mwenyewe Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ni kwamba ile rufaa ya kesi iliyomvua ubunge itasikilizwa tarehe 29 nov 2012 jijini Dar es salaam.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwa CCM walivyo naona wameshapanga matokeo
 
Kwa hali hii naanza kuona dalili za mahakama ya rufaa kutaka kusawazisha goli la sumbawanga. Kwanini wameihamishia dsm?

Kiongozi usitishike kabisa, wakichakachua itawacost sana. Maamuzi yoyote ni matamu kwa CDM kama Lema ataruhusiwa kugomea tu.
 
Back
Top Bottom