Hukumu ya Lema Tar 29/10/2012

Hukumu ya Lema Tar 29/10/2012

Kiongozi usitishike kabisa, wakichakachua itawacost sana. Maamuzi yoyote ni matamu kwa CDM kama Lema ataruhusiwa kugomea tu.

wasiwasi wangu wanaweza wakaiacha hukumu ya jaji wa vodafasta ika prevail na hivyo kumnyima fursa Lema.
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliye karibu na vyanzo vya mahakama ni kwamba ile hukumu ya rufaa ya lema itatolewa tar 29/10/2012.

Nazidi kufuatilia na nitazidi kuwapa taarifa kadri nitakavyo zipata.
mkuu ni Tarehe 29 November 2012, Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam,,,naona safari hii wameamua kuifanyia Dar es Salaam kabisa,,
 
Back
Top Bottom