SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,322
- 2,034
Ukisoma vizuri Uzi utagundua hakuna Taarifa yoyote kwenye Hii mada zaidi ya ramli tu🚮🚮🚮🚮
Hakika..Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Au wewe ni Tlaatlaah ?Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Asingetoa zile kauli,asingekamatwa. Hivyo zigo lote la MO29 angeangushiwa yeye!Nitamlaumu sana Lissu siku zote,zile kauli hakupaswa kuzitoa kwa upeo wake ni lazima watu wenye mtizamo tofauti na wake wange-take advantage japo kisheria wamefeli wenye mashtaka(kwa tusiojua sheria bali kupima hoja za pande zote)
Mkuu wewe ni muona mbali, Mungu alimwepusha na kikombe kichungu! Mungu mara nyingine utumia njia yenye miba ili kumwepusha mja wake na majanga mbeleni.Asingetoa zile kauli,asingekamatwa. Hivyo zigo lote la MO29 angeangushiwa yeye!
Akili?Lumumba wanajua kuchanga karata zao kwa akili kubwa sana
Uzi hauna nyama kaacha watu ndo tuandike wenyewe...Najaribu kuwaza umuhimu wa huu uzi. Modes wana kazi sana.
Ndugu yangu britanicca hili nalo lakufungulia uzi kama maelezo yameishia hapo?
Kiwango chako kama hua kipo juu na bora zaidi ya hapo Chief!!
Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !
Itakuwa Tofauti kabisa
Britanicca
Imajini system ya judiciary ilivyo corrupt yani badala isimame yenyewe inavyoona na kwa jinsi kesi ilivyoenda...badala yake wanasubiri mawasiliano na nani sasa...Kwa maelezo ya Katuga siku ile anafanya mawasilisho ya mwisho ni dhahiri hukumu ya Lissu itakuwa si ya kunyongwa bali itakuwa ya kwenda jela! Nadhani maelekezo toka juu ni hayo. Hii haihitaji elimu kubwa kuelewa. Hii serikali haiwezi kumwacha huru kbs maana wanaogopa atawasumbua zaidi watashindwa kufanya kazi zao kwa uhuru!
Upo sahihi kwa % kubwa mkuu,NRNe campaign ingefika hadi karibu na tarehe ile sijui ingekuaje.Asingetoa zile kauli,asingekamatwa. Hivyo zigo lote la MO29 angeangushiwa yeye!
mi29~mo29Lissu hatothubutu kuachiwa kwa masharti ya wauaji na watekaji
Hukum itakuwa hivi.. Majaji watamhukum Lisu hukum ya kifo lakini hapo hapo wa kesi itafutwa kwa amri ya Samia kujifanya yeye ndiye aliyemuokoa na hukum ya kifo.