Hukumu haipo mnavyodhani

Hukumu haipo mnavyodhani

Mleta mada anasema anazishangaa habari zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu.

Wewe umesema “Lumumba watatushangaza”

Hizo taarifa “zinazosambaa”, siyo kwamba ndo kigezo cha kusema hayo ndo matarajio ya wengi.

Kuna wengi wanaamini hatakutwa na hatia. Kuna wengine wengi pia wana mwelekeo wa “habari zinazosambaa”

Sasa kama ni vitu viko mtaani na kwenye mitandao kwanini tena utoe hints? What’s the reason?
Hint inaangukia kwenye kila uwezekano unaoutarajia
 
Hukum itakuwa hivi.. Majaji watamhukum Lisu hukum ya kifo lakini hapo hapo wa kesi itafutwa kwa amri ya Samia kujifanya yeye ndiye aliyemuokoa na hukum ya kifo.
Itakuwa kama hii ya kila chawa wa ccm akisimamana kutaka kumsafisha Samia, utasikia anasema Samia alipoingia tu madarakani aliwarudisha waliokimbia nchi. Yaani wanasema hivyo kuonyesha ni kama walifukuzwa nchini, ama sio raia hivyo amewafanyia hisani kurudi nchini.
 
Taarifa zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu nashangaa sana !

Itakuwa Tofauti kabisa


Britanicca
Baada ya massacre ya 29 October 2025, kiongozi yeyote mwenye akili timamu hawezi kuachia Lissu anyongwe. Only a mad person can allow that

Bado ninaamini kiongozi wa sasa hajafikia level hiyo ya utaahira. Wale Wanaharakari wa Twitter hawajui walisemalo na wanapiga ramli tu
 
Nitamlaumu sana Lissu siku zote,zile kauli hakupaswa kuzitoa kwa upeo wake ni lazima watu wenye mtizamo tofauti na wake wange-take advantage japo kisheria wamefeli wenye mashtaka(kwa tusiojua sheria bali kupima hoja za pande zote)
 
Back
Top Bottom