TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,964
- 19,177
Kwani yeye ni jaji?Kama mjane wenu anataka pasikalike nchini amhukumu kunyongwa wimbo wa libasse moto ubadilike
Kwani yeye ni jaji?Kama mjane wenu anataka pasikalike nchini amhukumu kunyongwa wimbo wa libasse moto ubadilike
Ulituambia atalalia shuka safi na atakuwa mtaani
ApparentlyIf you ask me, jamhuri wangekuwa na nafasi angalau ya kumtia hatiani Lissu kwenye uchochezi.
Unfortunately hawana wapelelezi smart, they are guaranteed to screw up everything.