Hukumu haipo mnavyodhani

Hukumu haipo mnavyodhani

Najaribu kuwaza umuhimu wa huu uzi. Modes wana kazi sana.

Ndugu yangu britanicca hili nalo lakufungulia uzi kama maelezo yameishia hapo?

Kiwango chako kama hua kipo juu na bora zaidi ya hapo Chief!!
Hao ndiyo wenye
Najaribu kuwaza umuhimu wa huu uzi. Modes wana kazi sana.

Ndugu yangu britanicca hili nalo lakufungulia uzi kama maelezo yameishia hapo?

Kiwango chako kama hua kipo juu na bora zaidi ya hapo Chief!!
Hao ndiyo wenye jf hupost chochote,wewe Uzi wako utahaririwa mpaka utashangaa
 
Bwashee tembelea mitandaoni na mitaani, hapa tunapeana hints taarifa kamili utazisaka mwenyewe
Mleta mada anasema anazishangaa habari zinazosambaa kuhusu hukumu ya Lissu.

Wewe umesema “Lumumba watatushangaza”

Hizo taarifa “zinazosambaa”, siyo kwamba ndo kigezo cha kusema hayo ndo matarajio ya wengi.

Kuna wengi wanaamini hatakutwa na hatia. Kuna wengine wengi pia wana mwelekeo wa “habari zinazosambaa”

Sasa kama ni vitu viko mtaani na kwenye mitandao kwanini tena utoe hints? What’s the reason?
 
Back
Top Bottom