Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Hahaa mi mkorea siku hizi best. Naitwa Moon Chae WonUMEBADILIKA SANA BESTITO AISEE SIJAKUTARAJIA KAMA UMEKUWA MCHINA KWA AVATAR HAPO HAHAHAHAAAAAAA

Hahaa mi mkorea siku hizi best. Naitwa Moon Chae WonUMEBADILIKA SANA BESTITO AISEE SIJAKUTARAJIA KAMA UMEKUWA MCHINA KWA AVATAR HAPO HAHAHAHAAAAAAA

We acha tu njaa zinabadilisha hobbyHATA NAMI NAONA AISEE KWELI MNASAKA TONGE ILA CHUNGENI MSIJE KUSAKA VISIVYOSAKWA HAHAHAAAAA
Ha ha ha haaaa.. Umenikumbusha mbali sana Mkuu, nikiwa chuo, girlfriend wangu alikua ananizungua sana baada ya yeye nae kujoin chuo tofauti na mimi, yaani pozi nyingi, dharau, hana time kabisa na mimi, nikimuuliza mbona mabadiliko makubwa na ghafla hivyo ananiambia "kwani wewe hupitii mabadiliko?", anasema " mabadiliko ni lazima maana mwili na akili pia zinakua, kwahiyo mtu lazima uwaze tofauti"... Dah, Roho ilikuaga inaniwaka moto... Ila hua namshukuru sana maana toka siku nilipoamua kua sasa basi.. Ilikua basi kweli na alinipa elimu kubwa sana juu ya saikolojia ya mwanamke bila yeye kujijua.. Hii imenifanya mpaka leo nimeoa namtreat mkewangu kwa namna flani hivi amazing upande wangu.Mkuu hata wewe si unapitia mabadiliko katika maisha?
njia sio hiyoMi napita tu.
wajukuu wamekuwa wengi kiasi kwamba nataka wengine kuwagawa sijui nikupe mmojawapo hasa wa kike akusaidie kazi za hapo home hahahaaaaaKaribu tena kilingeni bi shost. Mbona ulitutosa muda mrefu hivyo au kazi ya kulea wajukuu imekutinga ?
wewe ndo Kipaji Halisi nini hahahahhaaaaa naonna Id imekuwa kinyume hahahaaaAcha kizazi kipya kifanye yake,nacho kiache history kama ya unaowataja.
yaani palikuwa hapashikiki best yaani mpaka kukumbuka hivi ujue kuwa jf imechange sanaaaInaelekea humu ndani palikuwa hot sana kipindi cha nyuma eee
ina maana wamebaidili ili awe huru melloHujui Mello aliwekwa rumande na zikatafutwa ID za watu humu, wenzio wameponea chupuchupu kutekwa!
Wamegundua kuwa ipo siku lolote linaweza kuwakuta,ina maana wamebaidili ili awe huru mello
Daaa I wish ningejiungaga kipindi hichoyaani palikuwa hapashikiki best yaani mpaka kukumbuka hivi ujue kuwa jf imechange sanaaa
Wengi tumekuwa watizamaji humu,nakumbuka miaka ya 2008-2013 hivi tulikuwa tunakesha humu kwa mijadala kemkem.Siku hizi sim being rahisi mpk watoto wanazoyaani palikuwa hapashikiki best yaani mpaka kukumbuka hivi ujue kuwa jf imechange sanaaa
Jirani nakumiss mpaka vinyweleo vimesimama ujueUnajuaje ukuniacha nao..Kwani tumewahi kupima tukiwa wote??
Hapana... Wengine wana ID's kibao...Tehtehteh kwahiyo wengine ving'anganizi love!! duuuh 🙂🙂
Hapana... Wengine wana ID's kibao...
Nakumiss pia Jirani..Ngoja nije kuvilazaJirani nakumiss mpaka vinyweleo vimesimama ujue