Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,632
Teh teh..Wanakuzeesha hao..Usizipokee
uzee ukipigana nao ndo unakuja kwa kasi hatari..bora ukubali yaisheTeh teh..Wanakuzeesha hao..Usizipokee
uzee ukipigana nao ndo unakuja kwa kasi hatari..bora ukubali yaisheSmart my toe..ukitaka kuamini nnachoongea subiri aje hapa
Kweli aisee..Ila mi nimeamua nidate vibinti..Atleast vinanifanya nijione bado mbaby![]()
![]()
uzee ukipigana nao ndo unakuja kwa kasi hatari..bora ukubali yaishe
Kweli aisee..Ila mi nimeamua nidate vibinti..Atleast vinanifanya nijione bado mbaby
hilo nalo neno ngoja nitafute na mimi dogodogomabestitooooooooooooooo
Yaani nashindwa hata nianzaje nimeingia kwa vishindo ila nakosa tamko,
kila nikiachungulia humu ndani naona vipaji vipya vile vya zama ile sijui ndo vimekuwa
busy au ndo havimo kabisa au ndo majukumu yamekuwa mengi kiasi kwamba KUMEINGILIKA hakuna hata la kuchanga kama karanga, heeeeee inatisha hii hali sijui nianze kuwaita au mmebadili ID zenu wadau wangu wa zamani , yaani sio kuwamiso huku wale walikuwa vinara wa kuleta stori, ushauri, na nasaha za kufundisha mambo ya NDOA hawako sasa wako wapi au WAMEZAMISHWA niini? mko wapi akina Mentor mliokuwa mkileta sstori za kusisimua hapa jamvini na mafunzo yenye kujenga kila kona ya mhusika?
Mko wapi akina Mtambuzi na rawaya na stori zenye mantiki zilizochambuliwa na kudadavuliwa na kuwa funzo kwa wengine hapa jamvini? Mko wapi akina PakaJimmy ambao mlikuwa na shauku ya kuleta kitu cha hamu cha NDoa na kujenga hoja? mko wapi marejesho, @Snowhite,KakaKiiza Lady doctor, charminglady, Passion Lady , Khantwe , sister bila kumsahau valentine , miss chagga , mwallu, Filipo, Paloma, Arushaone , na wengineo wengi mliokuwa mkichangia na kuleta mapinduzi kwenye sekta ya ndoa mpotelea wapi jamani rudini kundini tuyajenge hapa maana pashadorora sitomsahau mama wa SHOKA lara 1 aliyeleta burudani kila mtu aililtaka amuone yukoje sista huyu hahahaa jamani wadau turudi basi tuanze mchakato wa kwenda kuwaona wagonjwa wa Ocean road kama zama zile
Kwakweli nimewamiss sana ndo maana nimewaita upya hapa nawatakia kheri huko mliko
Wasalaam
Ladyf a.k.a mama mfundaji
Ndio hapo sasa.Mkuu hata wewe si unapitia mabadiliko katika maisha?
Wewe hapo.Vipaji vipya ndo wakina nani?
Kumbe mimi ndio mnaniongelea eeeh!!! Mmenimiss eh!!!Teh..@espy khantwe amekumiss
![]()
![]()
Hivi ishafika mitano? My my...
hata kama haijafika ila haiko mbali sanaHahaa ukitaka kujua umezeeka angalia idadi ya shikamoo unazopokea
Karibu tena kilingeni bi shost. Mbona ulitutosa muda mrefu hivyo au kazi ya kulea wajukuu imekutinga ?mabestitooooooooooooooo