Huku sasa kumeingilika na nini?

Huku sasa kumeingilika na nini?

Yani hata ikitokea nimekufa kwa Ngoma ukae ukijua wewe ndo chanzo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwamba mimi ndio nimekuambukiza au!!!!!!?????
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwamba mimi ndio nimekuambukiza au!!!!!!?????
Yap..Mana sijawahi kuna na msichana mwingine zaidi yako
 
Acha kizazi kipya kifanye yake,nacho kiache history kama ya unaowataja.
 
Hujui Mello aliwekwa rumande na zikatafutwa ID za watu humu, wenzio wameponea chupuchupu kutekwa!
 
Wacha we!!!!!!
Kuna kabinti unakamendea nini!!!! Maana sio kwa uongo huo.
Sasaaaaa, sasa hivi ukikutwa nao nakuwa nimekuambukizaje kwamfano!!! Wakati sikukuacha nao!!!!
Unajuaje ukuniacha nao..Kwani tumewahi kupima tukiwa wote??
 
Inaelekea humu ndani palikuwa hot sana kipindi cha nyuma eee
 
Back
Top Bottom